Thursday, June 9, 2016


TAPAMA YAONGEZA WANACHAMA NA KUPATA VIONGOZI WAPYA

Umoja wa Wabungea wa Tanzania katika Mapambano ya kutokomeza Malaria Tanzania na Magonjwa mengine ya Ukanda wa Joto ( Tanzania Parliament Against Malaria and Neglected Tropical Disease-TAPAMA) umepata nguvu baaya ya WABUNGE na Mawaziri  wanachama wapya kuonyesha nia ya kusadia juhudi hizi za Wabunge.

Matumaini hayo yalijitokeza katika Mkutano Maalumu wa TAPAMA uliofanyika Dodoma 26th May 2016 kwa Ufadhili wa Taasisi ya Mkapa Foundation.

Viongozi wapya walioteuliwa ni 

1. Mh. Rizik Lulida -Mbunge (MWENYEKITI)
2. Mh Joseph Kakunda -Mbunge (Makamu Mwenyekiti)
3. Mh Dr Raphael Chegeni - Mbunge -Katibu
4. Mh Ridhiwani Kikwete -Mbunge (Mtunza Hazina)

Wajumbe Wengine waliohudhuria Mkutano huo ni 

1. Mhe Abdalah Katani MB
2. Mhe N Kaboyoka MB
3. Mh Dr Hamisi Kigwangala MB, Naibu Waziri za Afya
4. Mhe Prof Ana Tibaijuka MB 
5. Mhe Dr Immaculate Sware MB
6. Mhe Ummy Mwalimu MB, Waziri wa Afya
7. Mhe Neema Mgaya MB
8. Mhe Juma Kombo Hamadi MB
9 Mhe Tahir Awesi MB
10.Mhe Faustine Ndugulile MB
11.Mhe Stanslaus Nyongo MB
12.Mhe Abdallah Ulega MB
13.Mhe Zainabu Katimba MB
14 Mhe Job Ndungai MB, Spika wa Bunge
15.Mhe Dr Tulia Akson MB, Naibu Spika wa Bunge
16 Mhe Jenister Mhagama MB, Waziri WBVKW
17. Mhe. Dr Thomas Kashillilah, Katibu wa Bunge

Viongozi hawa ambao ni sehemeu ya watoa maamuzi wana lengo la kuongeza Utashi wa Kisiasa na ushawishi kwa Serikali ili kutokomeza Malaria Nchini Tanzania . 

Taarifa imetolewa na 

Dr Hermengild Mayunga
Program Director
TAPAMA Secretariat.


No comments:

Post a Comment